cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Yamekua hayo
"...njoo uzalishwe nawewe..."
Mmmmmh!!!
Yamekua hayo
Fanya na wewe basi utoboediamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...
hiyo kiki hiyo ameitengeneza... yeye ndio kawaambia nendeni hospitali....
dogo ajaenda shule ana akili kuliko ma prof wa markerting...
ukitaka uwin kwenye music wa tanzania imba nyimbo nyepesi watoto kukariri.. cheza kwa style watoto wakariri haraka... kisha weka maisha ya umbea umbea wanawake wakujadili... hapo unatoboa
Wema alisema hatakaa adate tena kijana wa uswahiliniMhuu zari maskini atakoma kuolewa na mother's boy tena wa uswahilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wale ndo waswahili kweli yaani hawajitambui hawawezi hata kuadapt mazingira ya ela jamani vitabia vya kijinga jinga tuu,,,sema zari mtu mzima labda atayawezaWema alisema hatakaa adare tena kijana wa uswahilini
Lakini Hamisa ni binti mzuri sana why is she making herself the second best?Yaani wale ndo waswahili kweli yaani hawajitambui hawawezi hata kuadapt mazingira ya ela jamani vitabia vya kijinga jinga tuu,,,sema zari mtu mzima labda atayaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapo keshatupa jibu kwamba mtoto wa kwao"...njoo uzalishwe nawewe..."
Mmmmmh!!!
Psychologically, kutokana hii comment inaonyesha kabisa zari is so lonely but just attention seeker. Alitema BigG kwa karanga za kuonjeshwa. Kuna kitu kitalipuka time will tell. Zimu likujualo..........
Hii familia ni kasheshePsychologically, kutokana hii comment inaonyesha kabisa zari is so lonely but just attention seeker. Alitema BigG kwa karanga za kuonjeshwa. Kuna kitu kitalipuka time will tell. Zimu likujualo..........
Sent using Jamii Forums mobile app
And I have that feeling yawezekana Nillan sio wa Mond. Mbona hampost kabisa wakati wanadai ndo mrith.Hii familia ni kasheshe
Waende na Zari mdogo mdogo, if they will f**k her up she will f**k them big time.And I have that feeling yawezekana Nillan sio wa Mond. Mbona hampost kabisa wakati wanadai ndo mrith.
Sasa nahisi hawataki kumdisapoint Zari maana ndo mwanamke wakwanz alieweza kumfutia jina ugumba. Kuna siri nzito
Sent using Jamii Forums mobile app
Psychologically, kutokana hii comment inaonyesha kabisa zari is so lonely but just attention seeker. Alitema BigG kwa karanga za kuonjeshwa. Kuna kitu kitalipuka time will tell. Zimu likujualo..........
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbea hauna poshoFamilia nzima mbona diamond tiffa na nillan sijawaona?
Nice [emoji106] onediamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...