VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

Sasa kuna watoto wa public wanaopata kuwa ambassadors wa maduka ta nguo na kuna wa private wanaotembelewa na familia mjini sihami
 
diamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...

hiyo kiki hiyo ameitengeneza... yeye ndio kawaambia nendeni hospitali....

dogo ajaenda shule ana akili kuliko ma prof wa markerting...

ukitaka uwin kwenye music wa tanzania imba nyimbo nyepesi watoto kukariri.. cheza kwa style watoto wakariri haraka... kisha weka maisha ya umbea umbea wanawake wakujadili... hapo unatoboa
Fanya na wewe basi utoboe
 
20759174_150996102148057_926406071877107712_n.jpg
 
And I have that feeling yawezekana Nillan sio wa Mond. Mbona hampost kabisa wakati wanadai ndo mrith.

Sasa nahisi hawataki kumdisapoint Zari maana ndo mwanamke wakwanz alieweza kumfutia jina ugumba. Kuna siri nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
Waende na Zari mdogo mdogo, if they will f**k her up she will f**k them big time.
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kabla ya zari kuwa na dai alikuwa na bwana wengine so alishaaachana na ivan kitambo sana.
Psychologically, kutokana hii comment inaonyesha kabisa zari is so lonely but just attention seeker. Alitema BigG kwa karanga za kuonjeshwa. Kuna kitu kitalipuka time will tell. Zimu likujualo..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
diamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...

hiyo kiki hiyo ameitengeneza... yeye ndio kawaambia nendeni hospitali....

dogo ajaenda shule ana akili kuliko ma prof wa markerting...

ukitaka uwin kwenye music wa tanzania imba nyimbo nyepesi watoto kukariri.. cheza kwa style watoto wakariri haraka... kisha weka maisha ya umbea umbea wanawake wakujadili... hapo unatoboa
Nice [emoji106] one

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom