VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

Kwani mtu akijufungua si watu huwa wanaenda kumuona kumpa hongera. Sasa what is so special kwa familia ya Diamond kwenda kumuona mwanamke aliyejifungua?

umeongea na kuuliza Cha maana sana .
 
Baada ya mda mrefu kuibuka maneno ya chini chini kuwa Mtoto aliyejifungua Hamissa mobeto ni wa Diamond Platnumz huku Mama Diamond na Diamond mwenyewe wakishindwa kukana tuhuma hizo

Siku ya jana Ijumaa kamera za shilawadu ziliwanasa live hospitalini Mama Diamond,Mama Rommy na Esmaplatnumz hospitalini wakitoka kumjulia hali Hamissa Mobeto





Hizi habari zenu za udaku pelekeni kwa vilaza wenzenu facebook huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naseeb Kama vipi pima DNA ya Nilan ukigundua sio wako usimuulize bibie Funga ndoa ya mkeka na demu umpendaye awe Mabeto au wereva asikie kwenye media. Mtu umpende na watoto inabidi akuheshimu na uaminifu 100% akishindwa hilo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiki ya Hamisa imefanikiwa kwa 100%
Wahusika katika movie hii ni
1. Hamisa
2. Diamond
3. Zari
4. Mpachika mimba wa Hamisa
Wengine wahusika wadogo wadogo.
Hili ni igizo.
Mwisho wa movie ni kuzaliwa kwa movie nyingine.
 
Na mamaake dai pia na famiLiia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kwa namna hii aise. Nimemuona Hamisa naye eti kafungua Account kwenye IG ya mtoto wake. Full kuigiza na kaiweka private eti @tanzanian_baby. Haya ni maigizo 100%

Akina Zari wanajifanya kuumia ili wachochee moto.
 
Watanzania sisi. Tumelogwa. TUNASEMA DIAMOND anatafuta Kiki. Hivi humu kama waliojaa siyo WAMBEYA HAYA MAMBO YANGEKUWAJE. wote WAMBEYA
 
Back
Top Bottom