Video: Mamluki wa Urusi, Wagner group wauawa kama nguruwe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...

Video nyingine hii hapa,warusi wanakaangwa kwa grenades kama umbwa

After the onslaught of the 10th Mountain Assault Brigade, russian invaders made the only correct decision - to surrender.
That's how it should be.
 
Ungemaliza kutawaza kwanza sasa umemaliza kunya tu unakurupuka na habari ambazo zipo katika decomentary stori mpaka za miaka ya nyuma zipo humo acha propaganda za YouTube unajishushia uaminifu sisi blogs ya YouTube hatuangaliagi
 
Putin ameanza kulalamika US na Ulaya zinataka kuiteka Urusi kwenye uwanja wa vita na baadae waifanye Urusi iwe koloni lao.
 
Ngoja wawachakaze tu hakuna namna [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Noma sana hii vita
 
Video nyingine hii hapa,warusi wanakaangwa kwa grenades kama umbwa

After the onslaught of the 10th Mountain Assault Brigade, russian invaders made the only correct decision - to surrender.
That's how it should be.
Punguza propaganda we fala. Ukraine wanaweza maigizo. Sasa haya maigizo ya wazi ndio unaleta kwa watu wenye akili kweli!!???
Usirudie ujinga
 
Punguza propaganda we fala. Ukraine wanaweza maigizo. Sasa haya maigizo ya wazi ndio unaleta kwa watu wenye akili kweli!!???
Usirudie ujinga
Polepole mtazoea tu,kama inauma chomoa

This PMC Wagner position has been overrun by Ukrainian troops of the 54th Mechanized Brigade near Bakhmut. In the video I count 6 eliminated Russians but the source speaks of up to 60 casualties. #Ukraine #Bakhmut

Ukrainian Drones deliver some presents to the Russians near Bakhmut.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…