Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Naye PUTIN anapumuliwa kisogoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kuhusisha ushabiki wenu na Imani za Watu. Andikeni chochote lakini msitaje msikiti wala makanisa hizo ni Imani za watuUmekurupuka kutoka msikitini haujakaa uelewe nini kinaendelea, kama mumerogwa maustadh.
acha kuhusisha ushabiki wenu na Imani za Watu. Andikeni chochote lakini msitaje msikiti wala makanisa hizo ni Imani za watu
Video nyingine hii hapa,warusi wanakaangwa kwa grenades kama umbwa
After the onslaught of the 10th Mountain Assault Brigade, russian invaders made the only correct decision - to surrender.
That's how it should be.
Wengi wa walio - front ni mamluki, si raiaHivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu..