Tatizo huko kwenye hizo imani ndio mnaaminishana vitu vya kijinga, eti sasa hivi nyote mumeshikamana kushabikia udhalimu unaofanywa na Urusi ili muikomoe Marekani kisa imani yenu mumelishwa chuki dhidi ya Marekani na la kushangaza hiyo hiyo Marekani wengi huwa mnaomba visa mkaishi maisha wanayoishi.
Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu..