njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Episodes za sope takadini zinaendelea, ama kwa hakika ni burudani juu ya burudani,msione watu wana mafuvu jamani mengine hayajahifadhi akili, ni makasha ya kuhifadhia meno ambayo kwa bahati mbaya kwa wengine hata mswaki hayajui ni nini.
Haya waziri umeombwa radhi kwa kupewa makavu siku ya press conference maana ulinangwa kwelikweli kwamba ulikazia hukumu yake kwa mbwembwe .... halafu mwishoni mwa msamaha huu kuna ka msonyo fulani hiviiiiiiiii