Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila.

Angalia video hapa




Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
 
Hapo maoni kwakuwa huu ni msimu wa uchaguzi basi doto apewe jimbo km doto mwenzie
 
Simpendi Haji lakini katika hili kosa lake lipo wapi? Yule bwana mdogo alitoa talaka Haji kachukua sasa kosa la Haji liko wapi hapo ,
Haya mambo nakumbuka steve na Welu
 
Back
Top Bottom