Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
ile inahitaji kijana mwenye umri kati ya 18 had 27 ukizidisha hapo hupigiππππUnachangia mada gani? au bange
Sawa Mkuu.Kazakaza baba. Utatoka
Afadhali umewapasha Kiongozi maana mashabiki ya Mikia hawajielewi ati. MO hafahamiki alipo na hali yake pia lakini wenyewe wako bize na vipeperushi vya video za udaku wa Yanga na Simba. Jamani MO kwanza mengine baadae tafadhali.Sisi tuna majonzi hapa mnatuletea ushamba ushambenga

Mkuu ilikuwa ni Lazima Yanga Itoe droo,nimemaliza,sasa hayo ni matokeo ya "ni lazima"
Tuache ushabiki, Yanga kweli hamkufungwa lakini ile haikua off side mana ule mpira ulipigwa na shaibu kabla kumkuta Mk akiwa kwenye eneo la off side, hivyo kwa mjibu wa sheria ya off side ile haikua offside mana shaibu alivunja off side kwa kuupiga ule mpira either kwa kujua or kutokujuaNyambafu kabisa azamtv. Yaani unauliza makofi polisi? Othman & Mapunda si ni maminazi wa simba? Apo unategemea watasema nini? Tena hao azamtv waache kabisa kuonesha mechi za yanga