Video: Marefa wasema Simba ilinyimwa goli dhidi ya Yanga

Video: Marefa wasema Simba ilinyimwa goli dhidi ya Yanga

hawa marefa sijui wanaokotwa wapi bahati nzuri wachambuzi wametaja hadi kipengele husika kwanini haikuwa offside kama hao ndio marefa bora wanavurunda jao wengine watakuwaje lile lilikuwa goli sahihi sema marefa walikuwa na mapenzi yao binafsi
 
Sisi tuna majonzi hapa mnatuletea ushamba ushambenga
Afadhali umewapasha Kiongozi maana mashabiki ya Mikia hawajielewi ati. MO hafahamiki alipo na hali yake pia lakini wenyewe wako bize na vipeperushi vya video za udaku wa Yanga na Simba. Jamani MO kwanza mengine baadae tafadhali.
 
Hakuna kitu kilichonishangaza kama Ally Mayai na wenzake kukubali ile ni offside. Siyo shabiki wa Simba lakini hakuna offside ya kurudishiwa mpira na adui.
 
Nyambafu kabisa azamtv. Yaani unauliza makofi polisi? Othman & Mapunda si ni maminazi wa simba? Apo unategemea watasema nini? Tena hao azamtv waache kabisa kuonesha mechi za yanga
Tuache ushabiki, Yanga kweli hamkufungwa lakini ile haikua off side mana ule mpira ulipigwa na shaibu kabla kumkuta Mk akiwa kwenye eneo la off side, hivyo kwa mjibu wa sheria ya off side ile haikua offside mana shaibu alivunja off side kwa kuupiga ule mpira either kwa kujua or kutokujua
 
Back
Top Bottom