VIDEO: Mashabiki wa Diamond wakimuombea msamaha kwa zari

VIDEO: Mashabiki wa Diamond wakimuombea msamaha kwa zari

Ack

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
88
Reaction score
87
Mashabiki wa Diamond platnumz hawataki mahusiano yao na zari yaishe, Hii imethihirika baada ya mashabiki wa diamond kumuombea msamaha kwa zari alipokua GSM mall.

Lakini naona kama Zari alionyesha kukataa kutoa msamaha, Pia inawezekana baadhi ya mashabiki ni wanafiki Inawezekana wanataka wamuumize hamisa na nahisi saizi hamisa anapumulia mipira kwa zari alichokifanya

Angalia hapa mashabiki wa Diamond wakimuombea msamaha kwa zari the boss lady

 
Back
Top Bottom