Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.

Your browser is not able to display this video.
 
Natafuta video ya mwaka 1993 utopolo wakiwashangilia Stella Abdjan ya ivory coast kwenye fainali ya Caf Tena walikuwa wakiomba uzalendo umetushinda.
Halafu utanitafutia ya nyuma ya 93 kuonyesha Simba ilikuwa ikishangilia wageni.
Sasa hiyo abiola kap Ina umuhimu gani
 
Walioimba uzalendo umetushinda 1993 walikuwa mashabiki wa Timu Gani vile!? Shida umezaliwa 2005.
 
Namshangaa Waziri Mbumbumbu aliyetangaza uzalendo kwenye ushabiki wa vilabu. Haupo dunia nzima. Si Kwa Liver na Man U, Madrid na Barca, Bayern na Dort hata Simba na Yanga haiwezekani.
 
Namshangaa Waziri Mbumbumbu aliyetangaza uzalendo kwenye ushabiki wa vilabu. Haupo dunia nzima. Si Kwa Liver na Man U, Madrid na Barca, Bayern na Dort hata Simba na Yanga haiwezekani.
Ila wenzetu Wana fuu kidogo , sisi imepitiliza....! Nafikiri Ile Mechi ya Simba na Stella Ndio iliasisi au kukuza ulimbikeni huu! Hata shoboza Haji Manara.. akiwa Simba , wakati yYanga ikichechemea ziliwapa hasira Wanayanga.
 
Wewe ndio kizazi kilichoshawishiwa na Manara kushabikia mpira,hiyo 2016 Yanga iliishia hatua gani?Mo ndiye aliyekuwa mfadhili wa Simba mwaka 2003 wakati Simba inacheza makundi kwa kuitoa Zamalek,Hiyo MetL ndiyo Mohammed Enterprises Ltd.Wakati huo Manji anauza ngozi
 
Attachments

  • Screenshot_20240316-164114.png
    2 MB · Views: 1
Natafuta video ya mwaka 1993 utopolo wakiwashangilia Stella Abdjan ya ivory coast kwenye fainali ya Caf Tena walikuwa wakiomba uzalendo umetushinda.
Halafu utanitafutia ya nyuma ya 93 kuonyesha Simba ilikuwa ikishangilia wageni.
Mimi natafuta ya miaka ya 70 kipindi kile Yanga kaingia robo nakumbuka ....... ndio alitafuta wasanii wa kutunga nyimbo kuinanga Yanga. Ngoja niipate
 
Weka na ya airport ambayo mashabiki wa simba wameenda kuwapokea wageni yaani mnataka muhalalishe uovu kwa upuuzi wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…