Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio anamsumbua Bill Lugano kunywa hennessy
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani huyo?Yule tajiri wa mafuta wa Morogoro kwani bado yupo?
Nani kakwambia sitafuti?Tafuta hela usianze sikitika kuhusu matanuzi ya mwanaume mwenzako
Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
Yule tajiri wa mafuta wa Morogoro kwani bado yupo? HUYO TAJIRI NA SAFARI YA KITE ZINAHUSIANAJE?
Inabidi atulie ama apunguziwe kasi anaenda mbio sana.Lini aanze kutumia kodi zetu?
Wazee wa ubuyu mpo vyedi sana
Wenzake wakiwa viwanja wana weka na picha za ushahidi,huyu kiduku lilo sjui lugano ye kazi kuandika magazeti marefu tu kujisifuNdio anamsumbua Bill Lugano kunywa hennessy
Haaa haaaa Acha kumwonea wivu bana,Wenzake wakiwa viwanja wana weka na picha za ushahidi,huyu kiduku lilo sjui lugano ye kazi kuandika magazeti marefu tu kujisifu
Tajir njozi
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio anamsumbua Bill Lugano kunywa hennessy