Video: Maulid Kitenge yuko Qatar kikazi ama kula bata?

Yule tajiri wa mafuta wa Morogoro kwani bado yupo?
 
Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
https://www.facebook.com/
Duh....
Mshikaji hangaika na maisha yako, Kitenge anakula aliyoyahangaikia. Hata kama ni kodi zenu, kazihangaikia mpaka kapata access ya kuzila.

Ukiendelea na mawazo na fikra za aina hii, si tu kwamba utakufa ukiwa maskini, ila utaacha urithi mkubwa sana wa ufukara kwa vizazi vyako vyote.

Fikiria watoto wako, fikiria wajukuu zako, fikiria vitukuu vyako, anza kuwatengenezea utajiri wao sasa.
 
Wenzake wakiwa viwanja wana weka na picha za ushahidi,huyu kiduku lilo sjui lugano ye kazi kuandika magazeti marefu tu kujisifu
Tajir njozi

Ova
Haaa haaaa Acha kumwonea wivu bana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…