Video Mayai Feki

Hii nchi tutakufa na mengi, kila bidhaa lazima iwepo na fake?! TBS/TFDA wanakazi ngumu haswa.
 
Hii video ya mayai fake inatusaidiaje kutambua mayai fake? Video imekaa ki-sensetional zaidi.
 
Wajinga wachache wanakaa na kutunga
 
Kuna nyingine ya mchele feki,keki feki bado ugali feki
Mlianza ninyi.

Bikra Feki
Kucha feki
Nywele feki
Makalio feki
Maziwa feki
Rangu feki

Kila kitu feki feki tu. And that, everything follows.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…