Video Mayai Feki

Video Mayai Feki

Hii nchi tutakufa na mengi, kila bidhaa lazima iwepo na fake?! TBS/TFDA wanakazi ngumu haswa.
 
maxresdefault.jpg
 
Wajinga wachache wanakaa na kutunga
 
Kuna nyingine ya mchele feki,keki feki bado ugali feki
Mlianza ninyi.

Bikra Feki
Kucha feki
Nywele feki
Makalio feki
Maziwa feki
Rangu feki

Kila kitu feki feki tu. And that, everything follows.
 
Back
Top Bottom