VIDEO: Mbunge aliyempongeza Diamond Platnumz

VIDEO: Mbunge aliyempongeza Diamond Platnumz

Status
Not open for further replies.
Huyo mbunge lengo lake ilikuwa ni kutia msisitizo kwa serikal kujal wasanii,its true Diamond kaitangaza sana Tanzania Duniani pengne kuliko msanii yeyote au mwanamichezo yeyote kwa kipindi hiki,sasa kwann Tanzania isimpe heshima..hivi mlishawahi kujiuliza Diamond ametuingizia pesa ngapi za kigeni kupitia show zake za nje,je ulishawahi kujiuliza kupitia kwa kampuni yake ya WASAFI ametoa ajira wa vijana wangapi?
Ukijiheshimu watu watakuheshimu pia.....Kwanini heshima asijipe mwenyewe....hivi mnataka heshima gani zaid apewe?
 
CCM wanahaki ya kutopenda bunge live kutokana na aina hii ya wabunge walionao.
Huwezi kuwa nao wa aina hii halafu habari zao zikawa hadharani, ni aibu kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom