Huyo mbunge lengo lake ilikuwa ni kutia msisitizo kwa serikal kujal wasanii,its true Diamond kaitangaza sana Tanzania Duniani pengne kuliko msanii yeyote au mwanamichezo yeyote kwa kipindi hiki,sasa kwann Tanzania isimpe heshima..hivi mlishawahi kujiuliza Diamond ametuingizia pesa ngapi za kigeni kupitia show zake za nje,je ulishawahi kujiuliza kupitia kwa kampuni yake ya WASAFI ametoa ajira wa vijana wangapi?