Mama anataka majibu, anasema taifa lote lilisimamisha shughuli kupokea ndege kwa mbwembwe, sasa imekua leo hiki kesho kile, kwamba inatumia hela nyingi sana kuidumisha zaidi ya inachoingiza, na sasa haijuikani iliko, mara imeuzwa Kenya, mara inapakwa rangi, mara inabeba nyama....awa mkali na uchungu mwingi...
Hawa wabunge wa chadema wana akili finyu sana, journalist mzoefu kama huyu mama kubeba maneno ya mitandaoni na kwenda kuyaingiza kwenye Hansard ni kudhihirisha namna gani ana ufinyu wa akili.
ATCL itabaki kileleni
View attachment 1064475
Sasa Kati Ya Wewe Na Huyo Mbunge Nani Hamnazo?.Hawa wabunge wa chadema wana akili finyu sana, journalist mzoefu kama huyu mama kubeba maneno ya mitandaoni na kwenda kuyaingiza kwenye Hansard ni kudhihirisha namna gani ana ufinyu wa akili.
ATCL itabaki kileleni
View attachment 1064475
Nimesema ATCL itabaki kileleni, ndio kwaaanza new routes zinaongezeka
Sasa Kati Ya Wewe Na Huyo Mbunge Nani Hamnazo?.
Kwa Taarifa Yako tu Ndege Inayoongelewa hapo Ni AIRBUS sio Hayo Mapanga Shaaaaaa!! Uliyotuwekea wewe.
Kaa kimia usiaibishe utu wako sasa umechangia nini? Acha tusijuane ungepata chamtemakuni
hapana ila nimewahi kumpanda shangazi yako.Umewahi hata kupanda ndege?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana ila nimewahi kumpanda shangazi yako.
Magari ya M4C yapo wapi?Ndege imenunuliwa na kodo zetu sasa kwanini tusiulize iliko? Ndo yale ya Ndugai wizi wa 2.4Tllion hataki tuhoji ana tuletea mkopo wa Lema million 600 ambayo anailipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Milion 50 za kila kijiji ziko bank gani mheshimiwa ?Magari ya M4C yapo wapi?
Unazeeka vibayaMadhara ya kufanya projectii kwa sababu Kenya wamefanya.
Dawa imekuingia penyewe.