Video: Mbunge Mtanzania awa mkali, ahoji ndege iliko, mara imeuzwa Kenya, mara inapakwa rangi, mara inabeba nyama

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mama anataka majibu, anasema taifa lote lilisimamisha shughuli kupokea ndege kwa mbwembwe, sasa imekua leo hiki kesho kile, kwamba inatumia hela nyingi sana kuidumisha zaidi ya inachoingiza, na sasa haijuikani iliko, mara imeuzwa Kenya, mara inapakwa rangi, mara inabeba nyama....awa mkali na uchungu mwingi...

Wabongo bwana shiiiida kweli., ka ndege kinyewe kamoja kelele na majigambo kibao sasa kama tungekuwanazo 150 kama Ethiopia ingekuwa vipi?, dunia nzima si ingepata habari!!.

Huo ni Ushamba wa Wakuu wetu.

Jino lenyewe moja mswaki wa nini??.
 
Hawa wabunge wa chadema wana akili finyu sana, journalist mzoefu kama huyu mama kubeba maneno ya mitandaoni na kwenda kuyaingiza kwenye Hansard ni kudhihirisha namna gani ana ufinyu wa akili.

ATCL itabaki kileleni
20190405_102917png.png
 
Hawa wabunge wa chadema wana akili finyu sana, journalist mzoefu kama huyu mama kubeba maneno ya mitandaoni na kwenda kuyaingiza kwenye Hansard ni kudhihirisha namna gani ana ufinyu wa akili.
ATCL itabaki kileleni
View attachment 1064475
Sasa Kati Ya Wewe Na Huyo Mbunge Nani Hamnazo?.
Kwa Taarifa Yako tu Ndege Inayoongelewa hapo Ni AIRBUS sio Hayo Mapanga Shaaaaaa!! Uliyotuwekea wewe.
 
ndege gani anayoiulizia maana zipo mbili ? Haya embu tazama hapo ndege moja jana ilikuwa na route za kutosha na nyingine leo imepiga route za kutosha sasa Mtoa UZI embu mpashe habari

1064506

1064509
 
Back
Top Bottom