Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
💯%Wakenya kwenye mambo ya msingi hawacheki na Nyani.
Mambo ya msingi?😎Wakenya kwenye mambo ya msingi hawacheki na Nyani.
mambo gani ya msingi kama si upumbavu?Wakenya kwenye mambo ya msingi hawacheki na Nyani.
Mzee Raila Odinga maskini ameishia kupata "gangs support" tu.Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki.
Mashabiki hao walidai kuwa Salasya alimkosea heshima kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, jambo lililosababisha mvutano mkubwa. Kufuatia hali hiyo, walinzi wa uwanja walilazimika kumuondoa mbunge huyo ili kuzuia vurugu zaidi.
Inanifurahisha kuona vijana masikini wanapigana na kufa kwa ajili ya wanasiasa ambao wanabadilika kama vigeugeu. Si juzi huyu Odinga alikuwa anawaponnda wanaompinga rais Ruto na kumsifia? hii pia ipo south Africa kwa vijana kuwa tayari hata kufa kwa sababu ya maneno ya Julius Malema ambaye yeye kila siku anapiga domo na kuzidi kutajirika kwa mtaji wa siasa.Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki.