Video: Mbunge wa Mbeya Mjini akabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka

Video: Mbunge wa Mbeya Mjini akabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mh Joseph Mbilinyi leo amekabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka jimboni kwake

Kwa awamu ya kwanza timu zilizonufaika ni pamoja na:
1. Airport Rangers (Kata ya Iyela)
2. Stone fire (Maaga)
3. Iganzo fema club (Iganzo)
4. Iwambi FC (Iwambi)
5. Iyunga boys (Iyunga)
6. Itende FC (Itende)
7. Itende boys (Itende)

Naona sasa ndio muda wa kuzikumbuka kata zilizokuwa zimesahaulika!!!
Sugu karibu Itende ujionee barabara mbovu kuliko zote ndani. Ya jimbo!
Uliahidi utaweka lami. Mpaka bible[emoji54][emoji54][emoji54]ahadi yako imepaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kama barabara hakuna pandeni ndege / dreamliner.

..mbunge hawezi kujenga barabara. Anachoweza kufanya ni kuiomba na kuishawishi serikali ijenge barabara.

..kwa bahati mbaya serikali ya awamu ya 5 vipaumbele vyake kwa upande wa miundombinu ni ndege, sgr, na mradi mkubwa wa umeme.
 
Naona sasa ndio muda wa kuzikumbuka kata zilizokuwa zimesahaulika!!!
Sugu karibu Itende ujionee barabara mbovu kuliko zote ndani. Ya jimbo!
Uliahidi utaweka lami. Mpaka bible
emoji54.png
emoji54.png
emoji54.png
ahadi yako imepaa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye Red kajifunze Majukumu ya Mbunge ni yapi Mkuu.

Tuna ulizia zile Millioni 50 kila Kijiji kutoka kwa Mh Rais wetu mpendwa ,muda unapita sasa na anakuja tena kwa Wananchi.Sugu ameliulizia sana hili Bungeni.
 
Swadakta !
 
Kwa kweli hivi vifaa vitachechemua sana Tulia Akson Cup, mashindano sasa yatakuwa na msisimko mkubwa, jezi zikienea, watagawa njumu.

Mpaka kufikia uchaguzi, wana Mbeya watafaidi sana.
P

Tatizo leo Tanzania Tulia sio mwanasiasa ameingizwa huko bila hata kutaka. Hakuingia kwenye siasa na agenda yeyote aliwekwa na watu kwa manufaa yao ya kisiasa. Kwa Tanzania siasa ni kama kazi na anaenda kushindana na wanasiasa wakati yeye ni mtendaji na ingefaa apewe kazi ya ukatibu mkuu badala ya siasa. Huyu Dada hana hata talent ya siasa!
 
Siasa za bongo vichekesho sana hapo makombe ya ng'ombe tutaona yanaibuka kwa kasi sana
 
Baada ya Meya na Baadhi ya madiwani wa Jimbo la Mbeya kutimkia CCM, Mh. Sugu ameanza kutambua nguvu na harakati za Dr. Betina kulibeba Jimbo. Naona nae ameanza kampeni za kiccm, kugawa jezi. Kesho akakutane na wamama wa Vikoba, awape mikopo. Namshauri azidi kupuuza ushauri wa akina Erythrocyte wanaomuaminisha kuwa hakuna mwingine kama yeye Mbeya. Akumbuke Kuna mwanamke mwenye sura na karba za uanaume ambaye amejiapiza kulichukua Jimbo. Lazma Sugu agangamale.
 
Hoja yako ni nini hasa ?
 
Kwa kweli hivi vifaa vitachechemua sana Tulia Akson Cup, mashindano sasa yatakuwa na msisimko mkubwa, jezi zikienea, watagawa njumu.

Mpaka kufikia uchaguzi, wana Mbeya watafaidi sana.
P
Wanafaidi mno,mshindi anajulikana na atakayepewa ushindi anajulikana,kazi kwao watakaokwenda kupanga foleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu mama Tulia aoneshe mia ya kulitwaa jimbo la huyu mtaalamu wa kulopoka ,basi hatulii ,naona kama anaweweseka,kiufupi ajiandae maana hesabu zangu zinaniambia sugu kurudi bungeni ana asilimia kama 15.2 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Tulia ni wa mbeya mjini? Mbona wenyeji wanasema hawamtambui.
Hata hatujui kwao maana maumbo kama yale sio ya kwetu
 
Attachments

  • 1956773_FB_IMG_1546541294117.jpg
    1956773_FB_IMG_1546541294117.jpg
    21.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom