Video: Mburundi ajitokeza na kukana kuzaa na diamond mapacha

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
Masinema ya diamond kuzaa na wanawake mbali mbali yameendelea kutuvuruga wapenda ubuyu, jana alijitokeza mwanamke mmoja mburundi akisema amezaa na diamond watoto mapacha wa kike, mwanamke huyo anajiita honey jesca kwenye instagram, cha ajabu leo kajitokeza mwingine anajiita honey jesca na kukana kuzaa na mondi, yeye anasema yule mwingine anatumia picha zake kumvuruga mondi ahahaah tizama hapa

 
Warundi sikuhizi wanabonga kuswazi kama wabongo
 
Usicheze na laki 5 kwa wk na RAV 4 ...kila mtu anataka bahat hyo yan ni 2m kwa mwenzi anamshinda hadi mwenye degree.
 
Warundi sikuhizi wanabonga kuswazi kama wabongo

Warundi tangu zamani wanajua Swahili, wao na Kigoma sio mbali sana so wanajichanganya sana na WaTZ, hivi unajua Burundi kulikuwa mpka na kikundi cha Taarab?, unamjua au unamkumbuka Malika?
 

msikize yule mburundi iliosemekana amezaa na diamond platnumz. kumbe zilikua mbinu za watu wachache kumuharibia diamond platnumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…