ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
Masinema ya diamond kuzaa na wanawake mbali mbali yameendelea kutuvuruga wapenda ubuyu, jana alijitokeza mwanamke mmoja mburundi akisema amezaa na diamond watoto mapacha wa kike, mwanamke huyo anajiita honey jesca kwenye instagram, cha ajabu leo kajitokeza mwingine anajiita honey jesca na kukana kuzaa na mondi, yeye anasema yule mwingine anatumia picha zake kumvuruga mondi ahahaah tizama hapa