Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Ujinga mtupu,

Huyo dada(muhanga) ni mjingaa na hao wanaomnyoa nao pia wajinga vile vile maana hicho walichofanya hakiwarudishii pesa yao bali kimewapa hasara tu na zaidi ya hapo kimefanya watu wengine waiogope hiyo saluni.
 
Wakuu,

Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.

Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.

Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii

View attachment 3250374
Alichofanyiwa ni sawa kabisa.kama hakuwa na hela alikuwa anaenda kufanya Nini kwenye biashara ya watu. Mtu ana marejesho,Kodi ya ofisi halafu afanye kazi bure
 
Asichukie, aendelee kunyoa tu bado atapendeza.

Huyu nae,aliendaje saloon bila hela..anadhani kazi nyepesi hiyo,?🤔

Hao nao,Nini kumnyoa mwenzao...si wangemwambie afumue tu mwenyewe kabla hawajamfanyia umafia🙄
Hapana wengemwambia atafute pesa pale pale au akope popote huenda huyo dada ndo pigo zake kuwakimbia wasusi
 
Back
Top Bottom