Huenda mwamba alimwambia kuwa anaenda kwa wakala kumtumia ndo ikawa mazima ivoWakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakamuua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Si angeweka simu Bondi?Huenda mwamba alimwambia kuwa anaenda kwa wakala kumtumia ndo ikawa mazima ivo
Very sad😔😔
Nimehuzunika tu mkuu nothing moreHuzuni ya kutetea ujinga?
Alichofanyiwa ni sawa kabisa.kama hakuwa na hela alikuwa anaenda kufanya Nini kwenye biashara ya watu. Mtu ana marejesho,Kodi ya ofisi halafu afanye kazi bureWakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Hapana wengemwambia atafute pesa pale pale au akope popote huenda huyo dada ndo pigo zake kuwakimbia wasusiAsichukie, aendelee kunyoa tu bado atapendeza.
Huyu nae,aliendaje saloon bila hela..anadhani kazi nyepesi hiyo,?🤔
Hao nao,Nini kumnyoa mwenzao...si wangemwambie afumue tu mwenyewe kabla hawajamfanyia umafia🙄