Acheni kusumbua watu kwa vitu vidogo. Waziri ana mambo muhimu ya kufanya sio watu kunyoana nywele. Hao wenye wasusi hawana utu kumuachia mtu mmoja inakupunguzia nini? Ningekuwa karibu hapo ningemlipia huyo dada.Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Asichukie, aendelee kunyoa tu bado atapendeza.
Huyu nae,aliendaje saloon bila hela..anadhani kazi nyepesi hiyo,?🤔
Hao nao,Nini kumnyoa mwenzao...si wangemwambie afumue tu mwenyewe kabla hawajamfanyia umafia🙄
Aisee,imekula kwakeHapana wengemwambia atafute pesa pale pale au akope popote huenda huyo dada ndo pigo zake kuwakimbia wasusi
Labda ni dada yako mjinga huyoNimehuzunika tu mkuu nothing more
🤣🤣🤣🤣Achaa tabia mbayaAngefumua mwenyewe hasingepata fundisho.
Ndio maana makosa yakawekewa adhabu.
Kunyolewa ndio adhabu yake
Acheni kusumbua watu kwa vitu vidogo. Waziri ana mambo muhimu ya kufanya sio watu kunyoana nywele. Hao wenye wasusi hawana utu kumuachia mtu mmoja inakupunguzia nini? Ningekuwa karibu hapo ningemlipia huyo dada.
Unamuchia huku ukimpa onyo na funzo, wewe utalipwa na Mungu. Hasara roho pesa makaratasi.Ukimuachia mtu bila adhabu unakuwa hujamfundisha.
Huyo amepewa adhabu nzuri ya kuacha kuchezea biashara za watu.
Siku nyingine hatarudia tena hilo kosa
😄Unamuchia huku ukimpa onyo na funzo, wewe uta;ipwa na Mungu. Hasara roho pesa makaratasi.
Unamuchia huku ukimpa onyo na funzo, wewe uta;ipwa na Mungu. Hasara roho pesa makaratasi.
Ikatokeaje Hana ela...how comes?Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Naona tutakesha hapa, mimi watu kama hao huwa nawaachia tu napata kwa wengine au huyo huyo atarudi siku nyingine kulipa zaidi ya hio.Serikali yenyewe haisamehi makosa. Ndio maana tusipolipa bill tunakatiwa, traffic wanatupiga fine..
Bila kumpa adhabu binadamu ataleta mchezo sana
Kuna misuko watu wanatumia masaa zaidi ya manne tena wapo wawili, kwa msusi hiyo ni hasara kubwa ya muda wake.Unamuchia huku ukimpa onyo na funzo, wewe utalipwa na Mungu. Hasara roho pesa makaratasi.
Biashara yako ipo wapi, nije kuzoa bidhaa/huduma bure?Naona tutakesha hapa, mimi watu kama hao huwa nawaachia tu napata kwa wengine au huyo huyo atarudi siku nyingine kulipa zaidi ya hio.
Dah kuna wale wadada wanasuka mapande matatu makubwa mistari ya kawaida tu nahisi waongezea na rasta ,wanapendezaga hatari.Duh! Hadi huruma
Kwani kusuka rasta ni lazima, mambo mengine kujitakia tu.