Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie.
Mtoa mada;-
1.umefikiria muda waliotumia watu wa saluni kumtengeneza?
2.Je umefikiria gharama ya vifaa vilivyo tumika kwake?
3.Je wenye saluni wamekwenda nyumbani kwa huyo dada? au huyo dada kawafuta kwao?
Hivi kusuka nywele ni lazima? ni hitaji la muhimu kama chakula?. Bila kusuka unakuwa umevunja katiba ya jamhuri wa muungano?
Hivi kwa nini hatuna huruma na wanao wekeza kwenye biashara?
Au kwa sababu wanafanya biashara basi ni haki kwao kuibiwa?.
Au kwa sbb anaye iba ni mwanamke basi aonewe huruma.
Hii nchi ina maskini wa akili na vipato.