Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.Umezungumza na Mungu kuhusu hayo Malipo?????
Sio minywele ya mtu ila ni minywele yako.😀😀😀Yani waziri ana kazi ya kutulindia wtt wetu ahangaike na minywele ya mtu jamani...
Kuna wanawake wakinyoa hupendeza sana lkn hawajiamini kama wanapendeza. Wengi wamekariri kusuka mitindo complicated ndio kupendeza.Asichukie, aendelee kunyoa tu bado atapendeza.
Huyu nae,aliendaje saloon bila hela..anadhani kazi nyepesi hiyo,?🤔
Hao nao,Nini kumnyoa mwenzao...si wangemwambia afumue tu mwenyewe kabla hawajamfanyia umafia🙄
Tena mitindo inayoishia kuwatengenezea komweKuna wanawake wakinyoa hupendeza sana lkn hawajiamini kama wanapendeza. Wengi wamekariri kusuka mitindo complicated ndio kupendeza.
Dawa ndio hiuoWakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Mpuuzi huyo dadaWakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Kwann utoke nyumbani kwenda kusuka ukiwa huna pesa?Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Dawa ya deni kulipaWakuu,

Ww nae usinichimbe...Sio minywele ya mtu ila ni minywele yako.😀😀😀
😂😂Tena mitindo inayoishia kuwatengenezea komwe