Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Wamemuonesha jinsi inatakiwa awe ikiwa hana hela,life simple ni kipara
 
Asichukie, aendelee kunyoa tu bado atapendeza.

Huyu nae,aliendaje saloon bila hela..anadhani kazi nyepesi hiyo,?🤔

Hao nao,Nini kumnyoa mwenzao...si wangemwambia afumue tu mwenyewe kabla hawajamfanyia umafia🙄
Kuna wanawake wakinyoa hupendeza sana lkn hawajiamini kama wanapendeza. Wengi wamekariri kusuka mitindo complicated ndio kupendeza.
 
Ifike mahala tuheshimu kazi za watu, usitegemee kufanya upumbavu kwenye kazi za watu kwa kisingizio cha UTU. Fanya manunuzi kulingana na uwezo wa mfuko wako
 
Alichokosea angewaambia kabla ya kusuka hana hela, kuliko kwenda kujificha chooni, walijua anataka kuwatapeli, akini hajadhalilishwa, si baada ya muda nywele zitaota
 
kwhiyo waziri huyo ndio wakuhangaika na watu wanaotaka vitu vya bure yaani mtu akatumie huduma za watu bure then waziri aingilie kati loh? watanzania mna matatizo mengi sana.
 
Alikosekana mwanaume hata mmoja wa kumlipia gharama ya kusuka huyo mdada kweli?

Halafu anaonekana mali safi yenye rangi adimu(mweupe) ugonjwa wangu😅
 
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.

Kwa hiyo waziri asiangalie utapeli wa aliyesukwa bali atazame kutolewa nywele kama ni udhalilishaji...

Nywele zimenyolewa, zitaota...
 
Kidada cha Jf hicho, huku Jf huwa anajidai anakunywa cocktail 🍸 , na anasema anabiashara zake hategemei mwanaume
 
Back
Top Bottom