Nenda VETA mkasome fani mpate ujuzi mjitegemee na kujitetea ,muache kupenda vya mserereko hakuna cha ndugu katika imani wala ushubwada wa namna hiyo.Kujikuta matatani kwa wadada wa kazi inaweza kutokea hata ndani ya nchi Cha msingi wahanga kutafuta mbinu ya kufikisha taarifa kuomba msaada, maisha popote.
Amefanya kazi za ndani miaka mingapi mpaka kujenga nyumba ya maana( majumba)😂😂😂Wapo waliojenga majumba ya kifahari,wapo walionunulia wazazi wao majumba.Wapo waliopata mitaji ya biashara.
Mibongo ni mivivu hizo kazi haiwezi kufanya ila ushamba wa kusafiri na kupanda ndege ndio umewajaa wakishafika huko uarabuni akili ndo zinarudi anaona bora Bongoland ugali na uono na maziwa mtindi maisha swaafi kabisa😀😀😀Hapo ndio kwenye shida, kazi ya house girl ukishareport kazini kurudi ni baada ya mwaka au miaka miwili ndio unapewa ticket ya safai. sasa ukianza uswahili ya ooh Mama anaumwa au naomba ruhusa nimefiwa shida ndio zinaanzia hapo
Muwe mnapenda shule ona sasa mnaishia kufanya kazi za kidhalili.Hakuna shortcut kwenye maisha!!!katika kila mmoja wa hao munaosema wamenyanyaswa kuna 30 wanaofanikiwa.
Ila ujue waKenya wapo huko kwa maeLfu na ni moja ya source ya kuipatia Nchi yao hela za kigeni;Kila siku mnaambiwa waarabu sio watu hamuelewi...akome
📌📌Acheni kujifariji kufanya kazi za ndani sio kazi.Himizeni watoto kusoma na kufaulu au kwenda VETA kujipatia ujuzi na fani kuliko kupigia chapuo huu UTUMWA!!!But penye wabaya wema nao wapo.
Na hao wa dada waliobadilisha maisha ya familia zao bongo mwaka wa kumi sasa wapo wanapiga kazi huko je hawa wameteswa na nani.
Pana mpaka waliolewa huko
Yaani kisa wakenya wamefanya na nyie mfanye hivi nyie watu mlienda shule kweli???Ila ujue waKenya wapo huko kwa maeLfu na ni moja ya source ya kuipatia Nchi yao hela za kigeni;
Sikatai kuwa kuna watu wanateseka ambapo ni jambo baya sana (hatakama ni 1%) lakini ujue tu sio waarabu wote wabaya. Umefika DXB Airport siku za karibuni? niliona ni wakenya wamejaa huko karibia kila Idara ndio wanahudumia watu...pengine lugha inawabeba!
Nafikiri na sisi tubadilike tulenge kupeleka wafanyakazi na sio vibarua wa kazi za ndani.....
suala ni kwanini akafanye kazi za ndani ughaibuni wakati kazi hizo hata hapa nyumbani zipo! Ingekuwa kazi ya kisomo ujinga huo usingekuwepo,hivyo ni afadhali angeenda shamba akalime na angekuwa na vyake na amani tele kuliko huo ujinga wanaofanyiwa huko!Hakuna cha uswahili hapo, nenda wewe basi kawaoneshe uzungu wako na ngozi yako nyeusi kama hawajakutumbukiza kwenye shimo la taka
Yaani kisa wakenya wamefanya na nyie mfanye hivi nyie watu mlienda shule kweli???
Kama shule ilikuwa ngumu kwanini msiende shamba mkalime🤔
Narudia msiwapeleke wenzenu wasio na ufahamu utumwani.Dunia imeshafika "AI" bosi, huwezi kuishi Nchini kwako kama kijiji
Hata hivyo wakenya wapo mbali.... tusijidanganye. Kama kuna mambo mazuri kwao, ni vizuri tuige.
Narudia tena; tunatakiwa tupeleke wafanyakazi na sio vibarua wa kazi za ndani!
Hawa c ndo kutwa kucha wanawasifia waarabu na kuwapondea wazungu kwamba ni mabeberu yanatutesa acha ale Malipo yakeWakuu,
Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.
Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.
Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.
Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.
Shida kupanda ndege..Ila hawa watu nao jamani khaaa,. Tangu niko mdogo nasikiaga tu wakilalamika hivihivi sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao.. Kwani kazi sehemu nyingine zenye usalama hakuna ??
Hata wasomi walioajiriwa na mashirika ya kimataifa katika nchi za kigeni hukumbwa na misukosuko, hata wote tukisoma maids watahitajika tu Cha msingi ni maslahi.Nenda VETA mkasome fani mpate ujuzi mjitegemee na kujitetea ,muache kupenda vya mserereko hakuna cha ndugu katika imani wala ushubwada wa namna hiyo.
📌📌Himizeni watoto wasome fani wapate ujuzi.Itawasaidia kujitafutia maisha.Kazi za ndani hazijawahi kumtoa mtu kimaisha zaidi ya vilio tu tena ukute jitu ni vivu🤗🤗🤗🤗
una kumbukumbu sana sanaZuber Mtemvu
Sawa endeleeni kufanya kazi za kijungu jiko!!!Hata wasomi walioajiriwa na mashirika ya kimataifa katika nchi za kigeni hukumbwa na misukosuko, hata wote tukisoma maids watahitajika tu Cha msingi ni maslahi.
Hao vikongwe wanabaki salama kweli?Yani Scandinavia huku tuna enjoy. Mazingira ya kazi ni pepo. Yani hadi unapochamba mikunduya vikongwe hujali harufu unajiona unachamba keki na kunusa manukato.
Chaliifrancisco PSL god hydroxo ras jeff kapita Magonjwa Mtambuka Mr Q Mufti kuku The Infinity reyzzap
Nyau de adriz
Ila ujue waKenya wapo huko kwa maeLfu na ni moja ya source ya kuipatia Nchi yao hela za kigeni;
Sikatai kuwa kuna watu wanateseka ambapo ni jambo baya sana (hatakama ni 1%) lakini ujue tu sio waarabu wote wabaya. Umefika DXB Airport siku za karibuni? niliona ni wakenya wamejaa huko karibia kila Idara ndio wanahudumia watu...pengine lugha inawabeba!
Nafikiri na sisi tubadilike tulenge kupeleka wafanyakazi na sio vibarua wa kazi za ndani.....