DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Warabu ni mbwa hapo usikute kuna mengi ya sirini hajasema maana jamaa wanafanyiaga ukatili wa kijinsia wadada wa kazi
Mtu kakufanyia gharama za kukusafirisha mpaka nchi nyingine,kwa ajili ya kazi,ujue na yeye pesa kaipata kwa tabu,hujamaliza hata mwezi,wataka ugharamiwe tena kurudi kwenu,kumbuka huyu pia anayekuajiri pesa kaipata kwa tabu,sasa,hapo MBWA ni wewe unayemtetea anayefanya makosa. .Ukitaka ufanye kazi nje ya nchi yako,uwe kama unakwenda vitani,kurudi nyuma mwiko.Na ulikwenda kwa hiyari yako,hukushikwa kwa nguvu.
 
Huu ndio ukweli.Halafu pia mtu umeamua ukafanye kazi,nje ya nchi,kwa uamuzi wako mwenyewe,na aliyekupa kazi,kalipa gharama za agenty na gharama za kukusafirisha,haifiki hata miezi sita,wataka urudishwe kwenu, huyu aliyekugharamia,pesa kaipata kwa tabu,hakuiokota.
 
Mwarabu ni takataka wale mbwa koko
Mashetan Kiboko yao Israel na marekan fyeka fyeka yote hawana maana dunian
Asiyekuwa na maana ni wewe na huyu,aliyekubali kazi,asiyoiweza.Mtu akugharamie,pesa za agenty na pesa kukusafirisha,mpaka nje kwa kazi,halafu haifiki hata miezi sita,unataka urudi kwenu,sasa hapo shetani na mbwa ni nani,kama sio wewe unayemtetea na huyo anayetetewa.Huyu mwajiri,pesa hakuiokota.Arudishe pesa ya watu,iliyolipwa kwa agenty na pesa ya kumsafirisha,ili mwajiri atafute mfanyakazi mwingine.
 
Nimekuelewa Boss
 
Kuna taasisi za kidini huwa zinasaidia watu kwenda kufanya kazi huko Mashariki ya kati. Ziingilie kati na kumsaidia huyu dada.
hapo ni suala la wananchi wenyewe kujiepusha na kuacha kwenda kufanya kazi za ndani huko na nyingine zifananazo na hizo kwani zinapelekea udhalilishaji na utwezaji wa utu! fikiria kila taifa Lina vijana sasa mbona hizo kazi waasiajiri vijana wao wanakuja kuchukua vijana huku! ila kwa kazi za kisomo zinaheshimiwa .
 
Kinacho wapeleka huko ni nini?
Hivi waarabu mnawajua au mnawasikia?
 
Ukiwa Kweli Na Uchungu Wa Kulia Kwa Jambo Lolote Linalokusibu Na Kukusikitisha Unapata Wapi Nguvu Ya Kujirekodi??Na %Kubwa Huwaga Jinsia Ke Wanayaweza Sana Haya Maigizo Ya Kidigitali,,,Teknolojia Ni Ya Kuwa Nayo Makini Mnoo Mengi Ni Fake.
Hapo chacha😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…