DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Acha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race

Acha kulamba makalio ya binadamu wenzako wewe masikini na mtumwa wa akili. Tabia na race ni mtu na dada sababu race ni kundi la watu linalo-share tamaduni.

Acha kuandika upuuzi na kutetea hao kima watumia vyoo.
 
Ukiwa Kweli Na Uchungu Wa Kulia Kwa Jambo Lolote Linalokusibu Na Kukusikitisha Unapata Wapi Nguvu Ya Kujirekodi??Na %Kubwa Huwaga Jinsia Ke Wanayaweza Sana Haya Maigizo Ya Kidigitali,,,Teknolojia Ni Ya Kuwa Nayo Makini Mnoo Mengi Ni Fake.
Hata kama ingekuwa fake, how ingebadirisha uhalisia? Au wewe ni mwarabu?
 
Waarabu hata wa kwetu Tanzania ni wabaguzi sn... kwanza ni vigumu sana kumkuta binti wa kiarabu ameolewa na ngozi nyeusi ila ni rahisi mno mwafrika kumuoa Mzungu... Popote walipo Waarabu sio watu Wazuri...

Wewe unafikiri kwanini wanabutuana na kujilipua? Hao viumbe race yao nzima ni mental, hakuna haja yoyote ya kuoana nao.
 
Wakuu,

Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.

Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.

Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.

Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.

Mbona taarifa haitoshelezi?
Hakuna namba za simu wala mawasiliano yoyote.
Hapo ni kama yupo gerezani, amefungiwa na hao watesi wake.
Atasaidiwa kwa muujiza gani?!
 
Najua inaweza isilipe kisiasa ila kibinadamu ni mzuri, viongozi wamsaidie huyo binti. Najua hamshindwi kimsusa tu.
Yeah, sio bongo. Wamarekani wangemchukua ndugu yao, na kwa wanavyopenda sifa wangeshuka na CH-47 Chinook kabisa. Bahati nzuri huwezi kuta Mmarekani analilia kwenda Uarabuni unless ni military campaign.
 
Mbona waafrika walimuacha Gadaf anauwa pekee wamesaidia nini.
Tabia njema au nzuri haina race
Sababu hana uhusiano wowote na Waafrika. Na yeye angekuacha ufe vilevile, hell, gadaf angekuua kwa mikono yake mwenyewe personally. Narudia, wewe ni wa kukamatwa na kuhojiwa. Otherwise ni mwarabu.
 
Yeah, sio bongo. Wamarekani wangemchukua ndugu yao, na kwa wanavyopenda sifa wangeshuka na CH-47 Chinook kabisa. Bahati nzuri huwezi kuta Mmarekani analilia kwenda Uarabuni unless ni military campaign.
Huyu aeleze alipata kazi vipi huko?
 
Wakati mwingine ni ngumu kuwaelewa Watanzania.... Mwaka 2022 kuna binti anafahamiana na mdogo wangu wa kike, siku moja kama home, anamwambia mdogo wangu maisha ya Tanzania yamemshinda anaenda Iraq kufanya kazi!

Nikajaribu kuongea nae, huko kuna slavery , sio kazi za kawaida! Akakaza shingo, baada ya kama wiki naambiwa kaacha mizigo yake home, safari Iraq. Baada ya mwezi tu, kaanza kumsumbua mdogo wangu, anataka kurudi home sijui kalikwenda kakarudi. Boss kamwambia, kama unataka kurudi kwanza ulipe gharama, usd 6,000 anazitoa wapi! Ndugu zake hoe hae.

Watu wa Arab countries kwa ujumla wanamuona mtu mweusi kuwa sio binadamu! Ni bora ukutane na mzungu wa hovyo kabisa kuliko watu wa Arab countries. Wapo waliorushwa ghorofani wakafa, wapo waliofanyishwa mapenzi na mbwa.
Wapo waliojenga majumba ya kifahari,wapo walionunulia wazazi wao majumba.Wapo waliopata mitaji ya biashara.
 
Kujikuta matatani kwa wadada wa kazi inaweza kutokea hata ndani ya nchi Cha msingi wahanga kutafuta mbinu ya kufikisha taarifa kuomba msaada, maisha popote.
Acha kufananisha Iraq na ndani ya nchi aisee. Acha!!!
 
Nashangaa kwenda kufanya kazi za ndani Iraq kweli dada zetu ni majasiri sana hao wahuni wanawabaka watakavyo ndio maana wakitaka kuondoka wanafichiwa vitu ili nyama isiondoke maana kupata wafanyakazi tena sio rahisi..hakuna kazi huko zaidi ya kutoa nyama..
 
Anaitwa fatma ina maana hao ndi ndugu zake katika imaan

Lakini bado wanamnyanyasa, mkiambiwa hiyo dini ya kuvaa kobazi ni empty set na vurugu hamtaki kuelewa
Katika keso yoyote,lazima usikize pande zote mbili.Huko Iraq,pia wapo waarabu wakridto na pia wapo wasio na dini.Hata huyo sio muislamu,ni.jina tu,midlzmu mwanzmke hakai kichwa wazi
 
Back
Top Bottom