Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Acha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Wewe utakuwa ni agent wao bila shaka. Wewe unatakiwa ukamatwe na uhojiwe kiundani! Mbwa kama nyie ndio mliouza ndugu zenu utumwani kipindi cha ukoloni.Mshahara wa dada wa KAZI hata mwenye elimu ya Masters bongo apati.
Mengine ni ajali kazini
Kila siku mnaambiwa waarabu sio watu hamuelewi...akome
Hata kama ingekuwa fake, how ingebadirisha uhalisia? Au wewe ni mwarabu?Ukiwa Kweli Na Uchungu Wa Kulia Kwa Jambo Lolote Linalokusibu Na Kukusikitisha Unapata Wapi Nguvu Ya Kujirekodi??Na %Kubwa Huwaga Jinsia Ke Wanayaweza Sana Haya Maigizo Ya Kidigitali,,,Teknolojia Ni Ya Kuwa Nayo Makini Mnoo Mengi Ni Fake.
Waarabu hata wa kwetu Tanzania ni wabaguzi sn... kwanza ni vigumu sana kumkuta binti wa kiarabu ameolewa na ngozi nyeusi ila ni rahisi mno mwafrika kumuoa Mzungu... Popote walipo Waarabu sio watu Wazuri...
Mbona taarifa haitoshelezi?Wakuu,
Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.
Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.
Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.
Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.
Yeah, sio bongo. Wamarekani wangemchukua ndugu yao, na kwa wanavyopenda sifa wangeshuka na CH-47 Chinook kabisa. Bahati nzuri huwezi kuta Mmarekani analilia kwenda Uarabuni unless ni military campaign.Najua inaweza isilipe kisiasa ila kibinadamu ni mzuri, viongozi wamsaidie huyo binti. Najua hamshindwi kimsusa tu.
Duh,Anaitwa fatma ina maana hao ndi ndugu zake katika imaan
Lakini bado wanamnyanyasa, mkiambiwa hiyo dini ya kuvaa kobazi ni empty set na vurugu hamtaki kuelewa
Katika kesi yoyote,lazima usikize na upznde wa pili,huyu aeleze ukweli,alipatiwa kazi na nani akiwa Tanzania,na alipata kazi vipi.Huyo aliyrmpatia kazi lazima alikuwa ni mtanzania.Kila siku mnaambiwa waarabu sio watu hamuelewi...akome
Sababu hana uhusiano wowote na Waafrika. Na yeye angekuacha ufe vilevile, hell, gadaf angekuua kwa mikono yake mwenyewe personally. Narudia, wewe ni wa kukamatwa na kuhojiwa. Otherwise ni mwarabu.Mbona waafrika walimuacha Gadaf anauwa pekee wamesaidia nini.
Tabia njema au nzuri haina race
Huyu aeleze alipata kazi vipi huko?Yeah, sio bongo. Wamarekani wangemchukua ndugu yao, na kwa wanavyopenda sifa wangeshuka na CH-47 Chinook kabisa. Bahati nzuri huwezi kuta Mmarekani analilia kwenda Uarabuni unless ni military campaign.
A childish sentiment.Mzungu ndiye race bora kuliko zote hapa duniani
Wapo waliojenga majumba ya kifahari,wapo walionunulia wazazi wao majumba.Wapo waliopata mitaji ya biashara.Wakati mwingine ni ngumu kuwaelewa Watanzania.... Mwaka 2022 kuna binti anafahamiana na mdogo wangu wa kike, siku moja kama home, anamwambia mdogo wangu maisha ya Tanzania yamemshinda anaenda Iraq kufanya kazi!
Nikajaribu kuongea nae, huko kuna slavery , sio kazi za kawaida! Akakaza shingo, baada ya kama wiki naambiwa kaacha mizigo yake home, safari Iraq. Baada ya mwezi tu, kaanza kumsumbua mdogo wangu, anataka kurudi home sijui kalikwenda kakarudi. Boss kamwambia, kama unataka kurudi kwanza ulipe gharama, usd 6,000 anazitoa wapi! Ndugu zake hoe hae.
Watu wa Arab countries kwa ujumla wanamuona mtu mweusi kuwa sio binadamu! Ni bora ukutane na mzungu wa hovyo kabisa kuliko watu wa Arab countries. Wapo waliorushwa ghorofani wakafa, wapo waliofanyishwa mapenzi na mbwa.
Acha kufananisha Iraq na ndani ya nchi aisee. Acha!!!Kujikuta matatani kwa wadada wa kazi inaweza kutokea hata ndani ya nchi Cha msingi wahanga kutafuta mbinu ya kufikisha taarifa kuomba msaada, maisha popote.
Kudadadeki. Nini kinakufanya uamini Waarabu ni ndugu zako? Hata baada ya kuona huo ukatili bado tu unaamini ni ndugu zako?Ni ndugu zetu katika imani
Katika keso yoyote,lazima usikize pande zote mbili.Huko Iraq,pia wapo waarabu wakridto na pia wapo wasio na dini.Hata huyo sio muislamu,ni.jina tu,midlzmu mwanzmke hakai kichwa waziAnaitwa fatma ina maana hao ndi ndugu zake katika imaan
Lakini bado wanamnyanyasa, mkiambiwa hiyo dini ya kuvaa kobazi ni empty set na vurugu hamtaki kuelewa