Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Nilikuwa napitia google drive, nimekutana na vitu vilivyonifurahisha sana.
Lakini kubwa ni hii video ya goli la Emmanuel Okwi dhidi ya ES seteiif ( sina hakika na spellings), nimejikuta natabasamu mwenyewe.
Kwa ambao mmesahau kidogo ngoja niwakumbushe, Mechi ya kwanza Dar simba alishinda (2-0).
Mechi ya pili ndio hii ambapo Juma Nyoso analamba umeme ( red card ) mapema tu, Simba tunapelekewa mafuriko hakuna mfano.
Mpaka dakika ya Tisini ni waarabu tatu, mnyama simba sifuri. Ndipo emmosting anafanya yake, Simba tunapita kwa bao la ugenini. ( mechi inaisha 3-1)
Sio mda mrefu sana ni miaka tisa tu imepita, ila inatosha kuwa kumbukumbu nzuri.
Ulikuwa wapi mwana simba? Ulilipokeaje goli la Okwi?