Video: Mfalme Emmanuel Okwi " Emmo Sting" kiboko ya Waarabu

Video: Mfalme Emmanuel Okwi " Emmo Sting" kiboko ya Waarabu

Nilikuwa napitia google drive, nimekutana na vitu vilivyonifurahisha sana.

Lakini kubwa ni hii video ya goli la Emmanuel Okwi dhidi ya ES seteiif ( sina hakika na spellings), nimejikuta natabasamu mwenyewe.

Kwa ambao mmesahau kidogo ngoja niwakumbushe, Mechi ya kwanza Dar simba alishinda (2-0).
Mechi ya pili ndio hii ambapo Juma Nyoso analamba umeme ( red card ) mapema tu, Simba tunapelekewa mafuriko hakuna mfano.

Mpaka dakika ya Tisini ni waarabu tatu, mnyama simba sifuri. Ndipo emmosting anafanya yake, Simba tunapita kwa bao la ugenini. ( mechi inaisha 3-1)

Sio mda mrefu sana ni miaka tisa tu imepita, ila inatosha kuwa kumbukumbu nzuri.

Ulikuwa wapi mwana simba? Ulilipokeaje goli la Okwi?

View attachment 1960103
Halafu tukaja kutolewa na Ahly Shandy siyo ?
 
Jamaa nasikia anapasha na timu, endapo aki click tu dirisha dogo anachukuliwarasmi astafie soka pale msimbazi
Okwi arudi tu kumrudisha Okwi Simba unakuwa umrudisha magoli yote aliyoondoka nayo Chama.
 
Halafu tukaja kutolewa na Ahly Shandy siyo ?
Enheee.....kwa penalty.
Nadhani kaseja ndio alikosa penalty ya mwisho.
Hakuna mechi iliniuma kama ile.
Bongo tulipiga mpira mwingi sana, tukashinda mbili bila. ( mafisango alikosa penalty zingekua tatu).
Nadhani ile Simba ya Kocha Milovan ndio ilikuwa hatari zaidi.
 
Ile game tulifanyiwa figisu nyingi sana kule Sudan aisee.
 
Enheee.....kwa penalty.
Nadhani kaseja ndio alikosa penalty ya mwisho.
Hakuna mechi iliniuma kama ile.
Bongo tulipiga mpira mwingi sana, tukashinda mbili bila. ( mafisango alikosa penalty zingekua tatu).
Nadhani ile Simba ya Kocha Milovan ndio ilikuwa hatari zaidi.
Ilikua 3-3 kwamatokeo ya jumla! simba akishinda 3 nyumban na ahly akashinda 3 nyumbani! nakumbuka wajina wangu petty magambo (mafisango) alikosa penalt pia.
 
Ilikua 3-3 kwamatokeo ya jumla! simba akishinda 3 nyumban na ahly akashinda 3 nyumbani! nakumbuka wajina wangu petty magambo (mafisango) alikosa penalt pia.
Simba walifanya logistics vibaya wakashukia mji wa Khartoum kwa maelekezo ya wageni wao kuwa kutoka Khartoum ni 52kms kumbe ni safari ya masaa zaidi ya nane kwenda mji wa Shandy.
Wakafika wamechoka na safari.
 
Back
Top Bottom