Video: Mfalme Emmanuel Okwi " Emmo Sting" kiboko ya Waarabu

Alexander Lukashenko

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
4,140
Reaction score
9,667
Nilikuwa napitia google drive, nimekutana na vitu vilivyonifurahisha sana.

Lakini kubwa ni hii video ya goli la Emmanuel Okwi dhidi ya ES seteiif ( sina hakika na spellings), nimejikuta natabasamu mwenyewe.

Kwa ambao mmesahau kidogo ngoja niwakumbushe, Mechi ya kwanza Dar simba alishinda (2-0).
Mechi ya pili ndio hii ambapo Juma Nyoso analamba umeme ( red card ) mapema tu, Simba tunapelekewa mafuriko hakuna mfano.

Mpaka dakika ya Tisini ni waarabu tatu, mnyama simba sifuri. Ndipo emmosting anafanya yake, Simba tunapita kwa bao la ugenini. ( mechi inaisha 3-1)

Sio mda mrefu sana ni miaka tisa tu imepita, ila inatosha kuwa kumbukumbu nzuri.

Ulikuwa wapi mwana simba? Ulilipokeaje goli la Okwi?

Your browser is not able to display this video.
 
Yaani baada ya Mayele kuchafua hali ya hewa ukaamua kufukua makaburi ?!.

Watoto waliozaliwa miaka 9 iliyopita mwakani wanafanya mtihani wa taifa drs 4 !!
Mayele kachafua hali ya hewa wapi tena?
Ina maana mayele amefika level za "Emmo sting"?
 
naikumbuka hiyo siku, mpaka dakika ya 90 setif 3-0 simba! Sports xtra ya clouds walikua wanaelekea kufunga kipindi cha michezo huku kina shafii na mbwiga wakifurah simba ktolewa! Mara pah okwiii! Dakika 90+5 aibuu!
 
Kwanini walikuwa wakifurahii mkuu walibet ama vipi?
 
naikumbuka hiyo siku, mpaka dakika ya 90 setif 3-0 simba! Sports xtra ya clouds walikua wanaelekea kufunga kipindi cha michezo huku kina shafii na mbwiga wakifurah simba ktolewa! Mara pah okwiii! Dakika 90+5 aibuu!
Shafii mchawi kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…