DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Innocent Bashungwa Mgombea ubunge jimbo la Karagwe kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika......
"Rugera - Karagwe Upendo wa Wanakaragwe ni wa kipekee, kila ninapokutana na mwananchi mmoja mmoja au makundi mbalimbali, nimeendelea kushuhudia upendo, imani na mshikamano mkubwa, hususan Kipindi hiki cha kampeni kimekuwa cha kipekee zaidi, kila mkutano nimekuwa nikipatiwa zawadi na alama za upendo.Asanteni sana Wanakaragwe kwa mapenzi yenu kwangu na kwa Chama Cha Mapinduzi, naahidi kuendelea kuwatumikia kwa moyo wa uzalendo, kwa nguvu zote, nikiilinda imani na upendo wenu".
Pia Soma: Bashungwa: Uongozi wa Rais Samia, Karagwe imekuwa kama Switzerland kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa