Video: Mgombea wa ubunge Bunda mjini kupitia CCM adai nchi ina wasomi sehemu mbili mbazo ni BoT na maabara kuu ambako kunatengenezwa dawa za binadamu

Video: Mgombea wa ubunge Bunda mjini kupitia CCM adai nchi ina wasomi sehemu mbili mbazo ni BoT na maabara kuu ambako kunatengenezwa dawa za binadamu

Ndio anaenda kutunga sheria bungeni[emoji15]
 
maabara kuu ya taifa inatengeneza dawa wanazotumia ndio maana ccm iko kama "hoves"
 
Wajinga huwa hatujui mambo na tunajua kuwa hatujui ndio maana tunakimbilia shule kujielimisha. Lakini wapumbavu hawajui na hawajui kuwa hawajui hivyo hawoni umuhimu wa kwenda shule. Sasa huyu ni zwazwa msukule maana hajui na hajui kuwa hajui halafu anafikiri anajua
 
Kipwinto kabisa huyu.
Asilimia 99 ya dawa tunaagiza nje
 
duuh! ndio huyu anataka kwenda kuisimamia serikali na kutunga sheria??
wajumbe mlifeli sana kumuacha Mwanza Huduma bora hata ya wasira!!
ANYWAY NJIA NYEUPE KWA BULAYA.
 
Back
Top Bottom