Video: Mji wa Gaza kabla na baada ya Vita inayoendelea hadi sasa

Video: Mji wa Gaza kabla na baada ya Vita inayoendelea hadi sasa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025.

--------------------

As Israeli bombardment intensified and expanded in scope, journalist Motaz Azaiza shared a video of a main road in Gaza City, showing a stark contrast between the bustling, lively scene of July 2023 and the massive destruction of September 1, 2025

Source: TRT WORLD
 
Kwani cha ajabu nini hapo? Umesikia wenyewe wakisikitika? Hujamskia hata Polepole kuomba CCM ibomolewe ijengwe upya? Kwani leo haipo?

GyKOivhXQAE3X-h.jpeg

Habari ndiyo hiyo.
 
Hii mbona haionyeshi uharibifu mkubwa? Ni majengo mawili au matatu tu yameshushwa mengi bado yamesimama, sema tu mabanda mengi barabarani.
 
Naam hiyo wana wa Israel Wana ita FAFO
Yaani Fu*ck Around Find Out
Wamatengo Wana sema kama mbwai na iwe mbwai.
Wamorogoro wanasema Ubaya Ubwela.
Wama tumbi wao Wana kwambia ukizingua tunakuzingua
WaPwani tuna kwambia uki mwaga ugali sisi tuna mwaga mboga
Naam hiyo ndo dawa sahihi kabisa ya kumpa mdhalimu mwenye kifront front.....
Cc
Webabu
 
Umewasahau wapalestina, wanaosema ukizingua tunazinguana. Ukawasahau na kataa wahuni:

Gz09RyLaIAAAxZd.jpeg
 
Naam sasa hivi Wana ishi kwenye vifurushi vya mabaki na wale wachokonozi Hxmas wao makazi Yao ya kudumu imekua ni mashimoni na miferejini kama mapanya buku...

Hukusikia kabla ya chakula kuwiva shuruti kitokote? Au una ushauri gani kwa wa kataa wahuni wa kwetu. Wachelee maguvu ya dola? Au?

Kwani na wewe ni mhuni mwenzao?
 
Wamekaa hao mazayuni wenyewe vita sio kubomoa majengo

**********
🏴‍☠️ Zionist commander’s shout: I will not return to Gaza anymore; soldiers should stop the war and disobey orders!

Commander of an Israeli army platoon:
🔸Our soldiers are being killed day by day; we are in the midst of a wave of military suicides; come to the streets, strike, and shout that this disaster must end!

🟡 @NEWWORLDORDYR
 
Attachments

  • IMG_20250904_161351_749.jpg
    IMG_20250904_161351_749.jpg
    27.8 KB · Views: 38
Hizo ndizo gharama za kujikomboa leo hii wachina wana sherekea miaka 80 ya kujikomboa kwenye wahuni kama Israel
 
Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025.

--------------------

As Israeli bombardment intensified and expanded in scope, journalist Motaz Azaiza shared a video of a main road in Gaza City, showing a stark contrast between the bustling, lively scene of July 2023 and the massive destruction of September 1, 2025

Source: TRT WORLD
Mbona bado uko vizuri tu? majengo mengi hayajaguswa kabisa!
 
Back
Top Bottom