Laabillaamin...Aaaaaiiiimiiin!Tujiombee wenyewe tuishi kwa amani bila kuchokoza majirani wenye "kichaa cha dog"!🫸🫷😭😭😭Ee Mwenyezi Mungu tusaidie,huruma yako isiache pia nchi zenye vita kilasiku 🙏🙏🙏
Amiin🙏🙏🙏 maanaaa🙌Laabillaamin...Aaaaaiiiimiiin!Tujiombee wenyewe tuishi kwa amani bila kuchokoza majirani wenye "kichaa cha dog"!🫸🫷
Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025.
--------------------
As Israeli bombardment intensified and expanded in scope, journalist Motaz Azaiza shared a video of a main road in Gaza City, showing a stark contrast between the bustling, lively scene of July 2023 and the massive destruction of September 1, 2025
Source: TRT WORLD
Laabillaamin...Aaaaaiiiimiiin!Tujiombee wenyewe tuishi kwa amani bila kuchokoza majirani wenye "kichaa cha dog"!🫸🫷
Naam hiyo wana wa Israel Wana ita FAFO
Yaani Fu*ck Around Find Out
Wamatengo Wana sema kama mbwai na iwe mbwai.
Wamorogoro wanasema Ubaya Ubwela.
Wama tumbi wao Wana kwambia ukizingua tunakuzingua
WaPwani tuna kwambia uki mwaga ugali sisi tuna mwaga mboga
Naam hiyo ndo dawa sahihi kabisa ya kumpa mdhalimu mwenye kifront front.....
Cc
Webabu
Naam sasa hivi Wana ishi kwenye vifurushi vya mabaki na wale wachokonozi Hxmas wao makazi Yao ya kudumu imekua ni mashimoni na miferejini kama mapanya buku...Umewasahau wapalestina, wanaosema ukizingua tunazinguana. Ukawasahau na kataa wahuni:
View attachment 3464845
Naam sasa hivi Wana ishi kwenye vifurushi vya mabaki na wale wachokonozi Hxmas wao makazi Yao ya kudumu imekua ni mashimoni na miferejini kama mapanya buku...
Mbona bado uko vizuri tu? majengo mengi hayajaguswa kabisa!Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025.
--------------------
As Israeli bombardment intensified and expanded in scope, journalist Motaz Azaiza shared a video of a main road in Gaza City, showing a stark contrast between the bustling, lively scene of July 2023 and the massive destruction of September 1, 2025
Source: TRT WORLD
Wachina walitawaliwa na nani miaka 80 iliyopita?Hizo ndizo gharama za kujikomboa leo hii wachina wana sherekea miaka 80 ya kujikomboa kwenye wahuni kama Israel