masandare
JF-Expert Member
- Mar 9, 2014
- 671
- 574
Umenyonyaa ile yenye uwezo Mdogo na rangii hafifu ilaa jitahidii kutafutaa ilio tafautii na hio na usihofiee bundle lako
Hapana ni kweli quality ndogo siyo hiyo tu video nyingi za adam juma quality patupu mf. pesa ya mr blue, picha zina ukungu