masandare JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 671 Reaction score 574 Mar 15, 2015 #21 wazabangah1 said: Umenyonyaa ile yenye uwezo Mdogo na rangii hafifu ilaa jitahidii kutafutaa ilio tafautii na hio na usihofiee bundle lako Click to expand... Hapana ni kweli quality ndogo siyo hiyo tu video nyingi za adam juma quality patupu mf. pesa ya mr blue, picha zina ukungu
wazabangah1 said: Umenyonyaa ile yenye uwezo Mdogo na rangii hafifu ilaa jitahidii kutafutaa ilio tafautii na hio na usihofiee bundle lako Click to expand... Hapana ni kweli quality ndogo siyo hiyo tu video nyingi za adam juma quality patupu mf. pesa ya mr blue, picha zina ukungu
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,290 Reaction score 2,468 Mar 15, 2015 #22 vipi kuhusu ramadee. nae si aliachia wimbo? uko wapi
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Mar 15, 2015 #23 Muuza Sura said: So far video aliyofanya msafiri wa kwetu studio ya msanii hemed phd ya far away ni kali. ..kiba yupo jikoni tusubiri tuone. .. Click to expand... Hemed akitaka kurudi kwenye game aingie kupiga kazi na nah real.
Muuza Sura said: So far video aliyofanya msafiri wa kwetu studio ya msanii hemed phd ya far away ni kali. ..kiba yupo jikoni tusubiri tuone. .. Click to expand... Hemed akitaka kurudi kwenye game aingie kupiga kazi na nah real.
Sara JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,060 Reaction score 932 Mar 15, 2015 #24 Mpoto ametishaaaaa na jux jafatia