VIDEO Mpya: Rosa Ree Featuring Fik Femaica - Acha Ungese

Daaaaa mbona mademu wanaochana hiphop wanatukana sana? hata Frida Aman naye anatukana "napo pull up na masnitch inakuwa Ngese" na huyo Onetime for the mazafaqa kaja na ungese tena.
Frida mkali zaidi ya huyu tatizo nyota.
Fik fameika rapa mkubwa Uganda ila nilichogundua muda mwingine kama huelewi mtu anaimba nini hasa kwenye kuchana unaona anaimba pumba jamaa ana ngoma inaitwa kutama ilikuwa hit sana uganda lakini mimi naona anaimba pumba tu
 
Empty heads, ukiacha uwezo wa kuchana, kwenye uandishi ni mbovu, yote ni matokeo ya kuwasikiliza Card B, na Minaj na kuiga hadi content zao.
 
Nimekupata Chief Mkwawa kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…