Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Huyo sio mtoto wa arusha. Ni mchaga kutoka moshi. Tatizo vidada vikitaka u gangster mchwara vinajinasibisha na Arusha. Wanawake wa arusha ni ma gangster kweli.Watoto wa Arusha hao.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio mtoto wa arusha. Ni mchaga kutoka moshi. Tatizo vidada vikitaka u gangster mchwara vinajinasibisha na Arusha. Wanawake wa arusha ni ma gangster kweli.Watoto wa Arusha hao.....
Frida mkali zaidi ya huyu tatizo nyota.Daaaaa mbona mademu wanaochana hiphop wanatukana sana? hata Frida Aman naye anatukana "napo pull up na masnitch inakuwa Ngese" na huyo Onetime for the mazafaqa kaja na ungese tena.
Nimekupata Chief Mkwawa kwa muda.Frida mkali zaidi ya huyu tatizo nyota.
Fik fameika rapa mkubwa Uganda ila nilichogundua muda mwingine kama huelewi mtu anaimba nini hasa kwenye kuchana unaona anaimba pumba jamaa ana ngoma inaitwa kutama ilikuwa hit sana uganda lakini mimi naona anaimba pumba tu
Sio usela mavi tu ni "ushamba" kabisa. Alivyo ndezi akitukana basi anajiona mjanja kumbe boya tu.Huu ndo huwa tunaita 'usela mavi'...