PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa katukamata tusio juamkuu labda ni mpya kwako,
nyimbo ya kitambo hii.
Ok poa nimewapatasio mpya hii wewe
mkuu labda ni mpya kwako,
nyimbo ya kitambo hii.
Video ni mpya. Nadhani hicho ndo alichotaka kusema.mkuu labda ni mpya kwako,
nyimbo ya kitambo hii.
Ndio hizoo bongo flavian tunazozipendaga.... Hamia kenya bac bro... Maana hata wao hizo bongo fleva kwao ndio habari ya mujini na sio hao sauti solSikilizeni vocal za hatari, sio wabongo flavian wetu wanao imba flat, hawa jamaa wapo vizuri, yaani naamini hata umeme usipokuwepo wanapiga shoo kama kawaida
Uwa nawapenda sana haohawa washkaji wanajua sana basii tu!
wako vizuri!Uwa nawapenda sana hao
Wakija ntakupeleka usjaliwako vizuri!
ole wako sasa unitoseee....?!!Wakija ntakupeleka usjali