heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
ni video ya wimbo wake mpya uitwao number one.video kashoot SA na imegarim dolla elfu 30 kama million 40 hiv.gharama hizo ni malipo ya makampun mawil yaliyoshilikiana kushoot(ogopa nn nyingine ya south)kulipa mamodo wanne dolla zaid ya 700 kila mmoja.kukodia private jet kubwa iliyotumika kwenye video,pamoja na kulipia ruhusa ya kutumia uwanja wa ndege,kulipia gari aina ya Fellari iliyotumika pamoja n kutengenezea private namba yenye jina lake na wasafi,kulipia private boat kubwa(kama ya psquare ndan onyinye)kulipia helcopter iliyotumika kushoot boat na fellari kwa juu,kulipia jumba lililo ufukweni,kulipa watu wa makeups pia kukatia bima ya kushoot video na gharam zingine akiwa huko..maandaliz yote aliyafanya ndani ya mwez mmoja kabla..kubook n.k...video ishakamilika na anatarajia kuizindua week ijayo.
Ni aina ya video ambayo hakuna mtanzania aliyewai shoot ya kiwango hicho na niwachache africa waliowah tengeneza kwa kiwango kile..ingawa diamond mwenyewwe anadai huo ni mwanzo tu..next tym atafanya kitu kikubwa zaid.
.Heaven on desert
#WCB