Video mpya ya Diamond iliyogharimu million 40...

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
ni video ya wimbo wake mpya uitwao number one.video kashoot SA na imegarim dolla elfu 30 kama million 40 hiv.gharama hizo ni malipo ya makampun mawil yaliyoshilikiana kushoot(ogopa nn nyingine ya south)kulipa mamodo wanne dolla zaid ya 700 kila mmoja.kukodia private jet kubwa iliyotumika kwenye video,pamoja na kulipia ruhusa ya kutumia uwanja wa ndege,kulipia gari aina ya Fellari iliyotumika pamoja n kutengenezea private namba yenye jina lake na wasafi,kulipia private boat kubwa(kama ya psquare ndan onyinye)kulipia helcopter iliyotumika kushoot boat na fellari kwa juu,kulipia jumba lililo ufukweni,kulipa watu wa makeups pia kukatia bima ya kushoot video na gharam zingine akiwa huko..maandaliz yote aliyafanya ndani ya mwez mmoja kabla..kubook n.k...video ishakamilika na anatarajia kuizindua week ijayo.
Ni aina ya video ambayo hakuna mtanzania aliyewai shoot ya kiwango hicho na niwachache africa waliowah tengeneza kwa kiwango kile..ingawa diamond mwenyewwe anadai huo ni mwanzo tu..next tym atafanya kitu kikubwa zaid.
.Heaven on desert
#WCB
 
Cjaiona lakini bila shaka itakua ni nzuri tuu bz kiukweli jamaa huwa anajipanga... Big up..
 
Kama wewe ni mtu wake wa PS una njia ndefu sana ya kufika.
Jitahidi ujifunze kuandika. Narudia , jifunze kuandika. Nimekuona mara nyingi ukielezea habari za Diamond. Kama kweli
wewe ni PS wake na kwa sifa alizonazo hukutakiwa kuwa kuwa na uandishi "low" kiasi hiki.

1. Hakikisha unaandika kwa kuzingatia maneno kwa usahihi wake.
2. Baada ya alama ya full stop anza na herufi kubwa
3. Weka paragraph
4. N.k
 
ahsante kwa kunikmbusha sometime ni haraka ya kuandika.But ujumbe umekufikia
 
Mbona kama iyo mil40 ni ndogo ukilinganisha ni huo uandaaji ambayo haujawai kutokea??
 
haraka ya nini?hujiamini?inaelekea unawahi wengine wasikupiku kupost,
jiamini kijana

huyo wa kunipiku ni nani wakati nilie karibu na diamond n mm info zote nazjua mapema..istoshe sifanyi hili kama kaz.napost tu huku kwa mapenz yangu ninapoona inafaa..kazi na majukum yangu kwake ni mengine kabisa
 
baadhi ya sehemu kwenye shooting
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1377349486010.jpg
    uploadfromtaptalk1377349486010.jpg
    24.8 KB · Views: 599
  • uploadfromtaptalk1377349529305.jpg
    uploadfromtaptalk1377349529305.jpg
    26.3 KB · Views: 559
  • uploadfromtaptalk1377349624323.jpg
    uploadfromtaptalk1377349624323.jpg
    25.9 KB · Views: 544
  • uploadfromtaptalk1377349671014.jpg
    uploadfromtaptalk1377349671014.jpg
    34.6 KB · Views: 534
  • uploadfromtaptalk1377349694196.jpg
    uploadfromtaptalk1377349694196.jpg
    29.1 KB · Views: 541
  • uploadfromtaptalk1377349730699.jpg
    uploadfromtaptalk1377349730699.jpg
    24.1 KB · Views: 520
  • uploadfromtaptalk1377349752432.jpg
    uploadfromtaptalk1377349752432.jpg
    23.2 KB · Views: 537
Watu watabakia tuu kumwita punda lkn jamaa ndio huyoo anazidi tuu kusonga to the next level,na kwa hatua hizi kuckia kafanya kazi na shade/aftamath sio mbali kiivyo.
 
hiyo video na audio anatoa lini?
 
Back
Top Bottom