Sio Million 40 ni Million 50 ndugu.
huyo wa kunipiku ni nani wakati nilie karibu na diamond n mm info zote nazjua mapema..istoshe sifanyi hili kama kaz.napost tu huku kwa mapenz yangu ninapoona inafaa..kazi na majukum yangu kwake ni mengine kabisa
Upo karibu zaidi na diamond! habari zote unazipata mapema zaidi! unamapenzi naye ndio maana unaleta habari zake! kumbe unamajukumu na kazi kwake? sitaki kuconnect dots but with time tutajua tu..
wtanzania jui huwa mnawaza nn aisee..u think diamond kaz zake za music najifanyia kila kitu mwwnyewe?hana wasaidiz alioajil kumlahisishia kazi zake?or inakuuma tu me kuajiliwa nae?
ni video ya wimbo wake mpya uitwao number one.video kashoot SA na imegarim dolla elfu 30 kama million 40 hiv.gharama hizo ni malipo ya makampun mawil yaliyoshilikiana kushoot(ogopa nn nyingine ya south)kulipa mamodo wanne dolla zaid ya 700 kila mmoja.kukodia private jet kubwa iliyotumika kwenye video,pamoja na kulipia ruhusa ya kutumia uwanja wa ndege,kulipia gari aina ya Fellari iliyotumika pamoja n kutengenezea private namba yenye jina lake na wasafi,kulipia private boat kubwa(kama ya psquare ndan onyinye)kulipia helcopter iliyotumika kushoot boat na fellari kwa juu,kulipia jumba lililo ufukweni,kulipa watu wa makeups pia kukatia bima ya kushoot video na gharam zingine akiwa huko..maandaliz yote aliyafanya ndani ya mwez mmoja kabla..kubook n.k...video ishakamilika na anatarajia kuizindua week ijayo.
Ni aina ya video ambayo hakuna mtanzania aliyewai shoot ya kiwango hicho na niwachache africa waliowah tengeneza kwa kiwango kile..ingawa diamond mwenyewwe anadai huo ni mwanzo tu..next tym atafanya kitu kikubwa zaid.
.Heaven on desert
#WCB
Still my point stands on..
bila shaka hata shida zake za kimwili unamrahisishia, hongera sana shosti
Ndo maendeleo hayo cyo kla tuone nyumba za mabat yalyojaa kutu na maguta mtaan
ahsante kwa kunikmbusha sometime ni haraka ya kuandika.But ujumbe umekufikia[/QUOte
Haraka ya wapi?wewe unaweza kusinzia haraka haraka?basi andika kama unasinzia vile hutakosea kamwe!
huyo wa kunipiku ni nani wakati nilie karibu na diamond n mm info zote nazjua mapema..istoshe sifanyi hili kama kaz.napost tu huku kwa mapenz yangu ninapoona inafaa..kazi na majukum yangu kwake ni mengine kabisa
wtanzania jui huwa mnawaza nn aisee..u think diamond kaz zake za music najifanyia kila kitu mwwnyewe?hana wasaidiz alioajil kumlahisishia kazi zake?or inakuuma tu me kuajiliwa nae?
da hiyo gari gani mkuu? LOLni video ya wimbo wake mpya uitwao number one.video kashoot SA na imegarim dolla elfu 30 kama million 40 hiv.gharama hizo ni malipo ya makampun mawil yaliyoshilikiana kushoot(ogopa nn nyingine ya south)kulipa mamodo wanne dolla zaid ya 700 kila mmoja.kukodia private jet kubwa iliyotumika kwenye video,pamoja na kulipia ruhusa ya kutumia uwanja wa ndege,kulipia gari aina ya Fellari iliyotumika pamoja n kutengenezea private namba yenye jina lake na wasafi,kulipia private boat kubwa(kama ya psquare ndan onyinye)kulipia helcopter iliyotumika kushoot boat na fellari kwa juu,kulipia jumba lililo ufukweni,kulipa watu wa makeups pia kukatia bima ya kushoot video na gharam zingine akiwa huko..maandaliz yote aliyafanya ndani ya mwez mmoja kabla..kubook n.k...video ishakamilika na anatarajia kuizindua week ijayo.
Ni aina ya video ambayo hakuna mtanzania aliyewai shoot ya kiwango hicho na niwachache africa waliowah tengeneza kwa kiwango kile..ingawa diamond mwenyewwe anadai huo ni mwanzo tu..next tym atafanya kitu kikubwa zaid.
.Heaven on desert
#WCB
Huyo jamaa muongo sana!Mbona kama iyo mil40 ni ndogo ukilinganisha ni huo uandaaji ambayo haujawai kutokea??
Ukiwa unadanganya uwe unakumbuka maana muongo huwa na kumbukumbu,,,ulishawahi kuja hapa nakusema jamaa anakulipa leo hii unasema eti kwa mapenzi yako. Kama hulipwi na huku unaendelea tu kuwa mpambe ujiangalie sana familia yako Final Uzeeni.