Video mpya ya Diamond iliyogharimu million 40...

huyo wa kunipiku ni nani wakati nilie karibu na diamond n mm info zote nazjua mapema..istoshe sifanyi hili kama kaz.napost tu huku kwa mapenz yangu ninapoona inafaa..kazi na majukum yangu kwake ni mengine kabisa

Upo karibu zaidi na diamond! habari zote unazipata mapema zaidi! unamapenzi naye ndio maana unaleta habari zake! kumbe unamajukumu na kazi kwake? sitaki kuconnect dots but with time tutajua tu..
 
wtanzania jui huwa mnawaza nn aisee..u think diamond kaz zake za music najifanyia kila kitu mwwnyewe?hana wasaidiz alioajil kumlahisishia kazi zake?or inakuuma tu me kuajiliwa nae?
 
ni video ya wimbo wake mpya uitwao number one.video kashoot SA na imegarim dolla elfu 30 kama million 40 hiv.gharama hizo ni malipo ya makampun mawil yaliyoshilikiana kushoot(ogopa nn nyingine ya south)kulipa mamodo wanne dolla zaid ya 700 kila mmoja.kukodia private jet kubwa iliyotumika kwenye video,pamoja na kulipia ruhusa ya kutumia uwanja wa ndege,kulipia gari aina ya Fellari iliyotumika pamoja n kutengenezea private namba yenye jina lake na wasafi,kulipia private boat kubwa(kama ya psquare ndan onyinye)kulipia helcopter iliyotumika kushoot boat na fellari kwa juu,kulipia jumba lililo ufukweni,kulipa watu wa makeups pia kukatia bima ya kushoot video na gharam zingine akiwa huko..maandaliz yote aliyafanya ndani ya mwez mmoja kabla..kubook n.k...video ishakamilika na anatarajia kuizindua week ijayo.
Ni aina ya video ambayo hakuna mtanzania aliyewai shoot ya kiwango hicho na niwachache africa waliowah tengeneza kwa kiwango kile..ingawa diamond mwenyewwe anadai huo ni mwanzo tu..next tym atafanya kitu kikubwa zaid.
.Heaven on desert
#WCB

hii ni gari gani???au unamaanisha FERRARI???
 
huyo wa kunipiku ni nani wakati nilie karibu na diamond n mm info zote nazjua mapema..istoshe sifanyi hili kama kaz.napost tu huku kwa mapenz yangu ninapoona inafaa..kazi na majukum yangu kwake ni mengine kabisa

Ukiwa unadanganya uwe unakumbuka maana muongo huwa na kumbukumbu,,,ulishawahi kuja hapa nakusema jamaa anakulipa leo hii unasema eti kwa mapenzi yako. Kama hulipwi na huku unaendelea tu kuwa mpambe ujiangalie sana familia yako Final Uzeeni.
 
wtanzania jui huwa mnawaza nn aisee..u think diamond kaz zake za music najifanyia kila kitu mwwnyewe?hana wasaidiz alioajil kumlahisishia kazi zake?or inakuuma tu me kuajiliwa nae?

Mkuu mwanzo umerekebishwa jinsi ya kuandika naona unarudia tena au muda unaisha hapo Internet zimebaki dkk2?
 
ni video ya wimbo wake mpya uitwao number one.video kashoot SA na imegarim dolla elfu 30 kama million 40 hiv.gharama hizo ni malipo ya makampun mawil yaliyoshilikiana kushoot(ogopa nn nyingine ya south)kulipa mamodo wanne dolla zaid ya 700 kila mmoja.kukodia private jet kubwa iliyotumika kwenye video,pamoja na kulipia ruhusa ya kutumia uwanja wa ndege,kulipia gari aina ya Fellari iliyotumika pamoja n kutengenezea private namba yenye jina lake na wasafi,kulipia private boat kubwa(kama ya psquare ndan onyinye)kulipia helcopter iliyotumika kushoot boat na fellari kwa juu,kulipia jumba lililo ufukweni,kulipa watu wa makeups pia kukatia bima ya kushoot video na gharam zingine akiwa huko..maandaliz yote aliyafanya ndani ya mwez mmoja kabla..kubook n.k...video ishakamilika na anatarajia kuizindua week ijayo.
Ni aina ya video ambayo hakuna mtanzania aliyewai shoot ya kiwango hicho na niwachache africa waliowah tengeneza kwa kiwango kile..ingawa diamond mwenyewwe anadai huo ni mwanzo tu..next tym atafanya kitu kikubwa zaid.
.Heaven on desert
#WCB
da hiyo gari gani mkuu? LOL
 
Ukiwa unadanganya uwe unakumbuka maana muongo huwa na kumbukumbu,,,ulishawahi kuja hapa nakusema jamaa anakulipa leo hii unasema eti kwa mapenzi yako. Kama hulipwi na huku unaendelea tu kuwa mpambe ujiangalie sana familia yako Final Uzeeni.

we mbona unaongea ovyo ovyo tu.wasafi ni kmpuni na kaz pale ni nyingi hivyo nalipwa kwa kaz na majukum niliyonayo pale kupost kitu huku nafanya kwa mpenz yangu coz siwez acha kupost habari zinazohusu CEO wangu nipost habari za Ali kiba...
 
Back
Top Bottom